Na WAF, Arusha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Afya kuandaa mkakati mzuri wa kuelimisha wananchi juu utekelezaji wa Bima ya Afya ... Soma Zaidi

Na WAF, Arusha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Afya kuandaa mkakati mzuri wa kuelimisha wananchi juu utekelezaji wa Bima ya Afya ... Soma Zaidi
Na WAF, Arusha. Rai imetolewa kwa wadau wa maendeleo ya Sekta ya Afya kushirikiana pamoja na Serikali katika kufanikisha utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa wote pamoja na ugharam... Soma Zaidi
Na WAF - NYASA Timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia iliyoweka kambi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma imefanikiwa kuzindua huduma mpya ya kinywa na meno katika Hospitali ya wilaya ikiwa ni... Soma Zaidi
Na WAF - Njombe Wito umetolewa kwa Madaktari Viongozi wa Kinywa na Meno kwa ngazi za Mikoa, Halmashauri, Hospitali za Mikoa, kanda na Taifa kuhamasisha wananchi kuziba meno badala ya ku... Soma Zaidi
Na WAF - Mbeya Watu zaidi ya 400 wenye matatizo ya mtoto wa jicho wanatarajiwa kupatiwa matibabu ikiwemo upasuaji wa mtoto wa jicho wakati wa kambi ya siku tano ya Madaktari wa macho in... Soma Zaidi
Na WAF-Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imeteua Hospitali saba kutoa huduma za tiba za kitalii, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha na kuimarisha se... Soma Zaidi
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu leo Oktoba 29, 2024 ameshiriki kwenye Kongamano la Bima ya Afya kwa wote na Jukwaa la Kimataifa la Ugharamiaji wa Huduma za Afya katika Sekta ya Af... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Serikali kupitia mkakati wa tano wa Sekta ya Afya (HSSP V) imetangaza mipango na mikakati madhubuti ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza, ikiwemo ugonjwa wa ki... Soma Zaidi
Na WAF, Iringa Timu ya Madaktari Bingwa 37 wa Rais Samia inayozunguka nchi nzima kwa ajili ya kutoa huduma za Kibingwa imewasili katika Mkoa wa Iringa na kuweka kambi ya muda wa wiki mo... Soma Zaidi
Na WAF – Njombe Wananchi wa Mkoa wa Njombe wametakiwa kutumia fursa ya uwepo wa madaktari bingwa na bobezi katika hospitali za halmashauri zote sita ili kupata matibabu ya kibingwa. ... Soma Zaidi