Na WAF - Mbeya. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeipongeza Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kutenga fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya ujenzi na ... Soma Zaidi
Habari
Hospitali ya Benjamin Mkapa imefanikiwa kupandikiza figo wagonjwa 26 kuanzia machi 22, 2018 kutoka mikoa mbalimbali nchini na wote wanaendelea vizuri. Hayo yamebainishwa leo na Mkuu... Soma Zaidi
Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wiza... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema anataka Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. J.K. Nyerere kutoa huduma za ubobezi katika magonjwa ya mifupa na ajali maeneo ya kanda wa ziwa ili kupunguza... Soma Zaidi
Katika kipindi cha miaka kumi nchi imeshuhudia ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani unaochangangiwa na mtindo wa Maisha usiozingatia lishe Bora ikiwa ni Pamoja na kutokufanya ... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo WAF – Singida Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wataalam wa afya nchini kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Ukoma ili ifikapo Mwaka 2030 ug... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameiagiza Menejimenti ya MSD kutatua changamoto za upatikanaji wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za Afya nchini. Waziri Ummy ametoa agizo h... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya inajipanga kupunguza idadi ya Watoto wanaozaliwa na maambukizi ya VVU kutoka kwa mama nchini. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalim... Soma Zaidi
Na WAF – Moshi, Kilimanjaro. Viongozi wa Dini na Kimila wa Mkoa wa Kilimanjaro wameombwa kushirikiana na Serikali katika kuelimisha wananchi kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 pamoja na kut... Soma Zaidi
Na. Wizara ya Afya - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh: Mil. 864 vitavyosaidia katika kupambana dhidi ... Soma Zaidi