Na WAF - MBEYA Timu ya Madaktari Bingwa na Bobezi ya Rais Samia imeendesha mafunzo elekezi kwa watoa huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, kwa shabaha yakuwa... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - Kilimanjaro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kusogeza huduma za Afya karibu na wananchi kwa kujenga vituo vya Afya... Soma Zaidi
Na WAF, DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wizara ya Afya imezitaka Hospitali zote nchini ikiwemo za Sekta binafsi kuwekeza kwenye matumzi ya teknolojia na miundombinu za kisasa katika kuto... Soma Zaidi
Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Leo Oktoba 4, 2024 Wizara ya Afya imetoa mafuzo kwa Waandishi wa habari na Wahariri kutoka vyombo vya habari mbalimbali Nchini kuhusu ugonjwa wa Mpox n... Soma Zaidi
Na WAF, DAR ES SALAAM Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Marekani imeendelea kuzaa matunda, kufuatia makubaliano ya kuanzisha kitu... Soma Zaidi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango ya maendeleo na shughuli za kiuchumi kwa jamii jamii zikiwem... Soma Zaidi
Na. WAF, Songwe Katika tukio la kusisimua, Bi. Maria Laureni (80), ameweza kuondokana na shida ya kupumua ambayo amekuwa akikabiliwa nayo kwa zaidi ya miezi nane baada ya kuhudumiwa na ... Soma Zaidi
Na. WAF, Nkasi - Rukwa. Madaktari Bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kuanzisha kitengo maalumu cha uangalizi wa watoto wachanga (NCU) katika Hospitali ya Wilaya ya Nkasi ambac... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendela kufanya kazi na Mfuko wa Watoto wa Umoja na Mataifa (United Nations Children's Fund - UNICEF) kwa kuwa inatambua ushirik... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kada ya wataalamu wa maabara kuwa ni chachu ya utekelezaji maono ya Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Rais wa Jamhuri ya Muungan... Soma Zaidi