Na. WAF - Dar es Salaam Ugonjwa wa homa ya Mgunda (Leptospirosis) ambao ulithibitishwa kimaabara nchini Julai 18, 2022 na kutolewa taarifa kwa umma kuwepo kwa ugonjwa huo u... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - MOROGORO. Wizara ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuanza kuwasaka na kuwachukulia hatua za Kisheria Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanaotoa huduma kw... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, WAF - MWANZA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kulingana na jumla ya idadi ya Vitongoji na Mitaa nchini, inatarajia kuwa na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii 68,6... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa kutoka M... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Kituo cha mafunzo kwa njia ya mtandao kwa Watumishi wa Afya ambacho kitasaidia kukabiliana dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa UVIKO-19 kimezinduliwa... Soma Zaidi
Na. WAF - Mtwara Watumishi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kujengewa nyumba 20 vya malazi pamoja na kununuliwa magari mawili (Coster) na Gari kwa ajili ya Mkurugenzi ili kuw... Soma Zaidi
Na. WAF - Mtwara Imethibitika kuwa njia ambayo ni salama ya kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 ni kupata chanjo hiyo kwa kuwa ukichanja utakuwa umejikinga na kuikinga jamii ya watanzania.... Soma Zaidi
Wagonjwa wapatao 150 wanatarajiwa kupatiwa matibabu ya mfumo wa fahamu katika kambi ya siku tatu itakayofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Hospitali... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amezindua mradi wa macho kwa Mikoa ya Tanga, Kagera, Manyara na Mtwara wenye thamani ya Tshs Bilioni 1.2 pamoja na kupokea vifaatiba vya huduma za macho vyeny... Soma Zaidi
Na. WAF - Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Gen. Marco Gaguti ametoa rai kwa wakazi wa Mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika tamasha la mziki mnene litakalofanyika katika viwanja vya N... Soma Zaidi