Na WAF – Kilimanjaro. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi na kutumiua fursa ya kambi za madaktari bingwa wa Rais... Soma Zaidi
Habari
UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 Na WAF - Dodoma Kutokana na uwekezaji wa kimkakati uliofanywa na Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kuimarisha hudum... Soma Zaidi
UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YA AFYA 2023/24 Na WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuratibu utoaji wa huduma za utengamao kwa wagonjwa 210,382 nchini hususa... Soma Zaidi
WAF - Rukwa Jopo la Madaktari Bingwa wa Dkt. Samia Suluhu Hassan waliokita kambi katika Hospitali za Halmashauri na wilaya za mkoa wa Rukwa, wamefanikiwa kufanya upasuaji kwa mwa... Soma Zaidi
Na WAF - Mbeya. Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga shilingi Milioni 500 kwa ajili ya Mradi wa kutekeleza afua za kuwezasha utambuzi wa mapema wa watoto wenye matatizo ya mac... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu ametoa maagizo lwa wataalamu wa Afya kushirikiana ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi. Prof. Nagu amesema hay... Soma Zaidi
Na WAF, Singida Madaktari Bingwa na Bobezi wa Samia wakiwa mkoani Singida wamefanikisha upasuaji mkubwa kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu aitwaye Jackline Wilson mkoani humo, ... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu, amesema Serikaki kupitia Wizara ya Afya iko mbioni kuanzisha mfumo wa kuweka ahadi baina ya Watoa huduma.z Afya ... Soma Zaidi
Na WAF, Manyoni- Singida Ujio wa Madaktari Bingwa wa Rais Samia katika wilaya ya Manyoni umeweza kusaidia kuokoa Maisha ya mama na mtoto aliefuatwa Kilomita 76 kutoka katika Hospital... Soma Zaidi
Na WAF, Ikungi-Singida Wakati mahitaji ya huduma za afya zinazidi kuongezeka, wagonjwa wengi katika Wilaya ya Ikungi wanaonekana kustahili na kuhitaji huduma za kibingwa. Hay... Soma Zaidi