Na WAF, Gaborone - Botswana Nchi wanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kanda ya Afrika zimekubaliana kuboresha huduma za uchunguzi wa Magonjwa na Maabara ambapo TANZANIA ime... Soma Zaidi
Habari
Na WAF- Dom. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa Wataalamu wa afya kulipa uzito unaostahili suala la lishe ili wananchi waone umuhimu wake katika kuchangia ma... Soma Zaidi
-Kikao cha 73 cha Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Gaborone – Botswana Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuboresha Sekta ya Afya kwa kua... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy). Upasuaji huu ni wa kwanza ... Soma Zaidi
Na WAF- DSM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Tsh. Bil. 9 kwa ajili ya mafunzo ya wataalamu wa fani za ubingwa na ubingwa ita... Soma Zaidi
Na Rayson Mwaisemba WAF - DSM. NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa mamlaka na taasisi zinazosimamia bidhaa za afya ikiwemo Dawa, vifaa tiba pamoja na vi... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu, Tanga Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga Bombo, imefanikiwa kupunguza rufaa wa wagonjwa 100 hadi 15 kwa wiki mbili baada ya kuanza kutoa huduma za kibi... Soma Zaidi
Huduma za kibingwa na bobezi zimeleta matokeo chanya kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke, kwa kufanya upasuaji wa kutoa saratani ya figo bila kuondoa figo nzima. Upasuaji huo u... Soma Zaidi
Mgonjwa aliyekuwa amelazwa wodi namba 6 “A” katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ametoa tuzo maalum ya kuwapongeza wahudumu wa wodi hiyo kwa huduma bora wanazotoa kwa w... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujiimarisha katika utayari wa kukabiliana na Matukio ya dharura ya afya ya jamii, magonjwa ya mlipuko na Matukio... Soma Zaidi