Na WAF - SHINYANGA Uwepo wa Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia Mkoani Shinyanga wenye lengo la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi hasa ngazi ya afya ya ... Read More

Na WAF - SHINYANGA Uwepo wa Kambi ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia Mkoani Shinyanga wenye lengo la kusogeza huduma za kibingwa karibu na wananchi hasa ngazi ya afya ya ... Read More
Na WAF - Arusha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuacha matumizi holela holela ya Dawa ili kuepuka usugu wa vimelea dhidi ya dawa hususani ... Read More
Na WAF -KAGERA Mkuu wa wilaya ya Bukoba Mhe Erasto Sima ambae amemuwakisha Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe Hajat Fatuma Mwassa kuwapokea madaktari Bingwa arobaini (40) marufu... Read More
Na WAF - SHINYANGA Kambi ya Madaktari Bingwa wa Mama Samia imewasili mkoani Shinyanga tayari kwa kutoa huduma za kibingwa kwa wananchi wa Mkoa wa Shinyanga, kat... Read More
Na WAF - MWANZA Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, amewapokea jumla ya Madaktari Bingwa 45 na kuwashukuru kwa kuwafikia huku akiahidi kuwapa ushirikiano kwa kipindi chote cha siku ... Read More
Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa Watanzania kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula pamoja na kufanya mazoezi il... Read More
Na WAF - Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kwa sasa takwimu zinaonyesha kuwa takribani watoto Watatu kati ya Kumi wenye umri chini ya miaka mitano h... Read More
Na WAF - DSM Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezitaka Wizara mtambuka za Afya, TAMISEMI pamoja na Viwanda na Biashara kuweka mkakati... Read More
Serikali imepanga Kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura 147 ili kuelekeza asilimia 2 ya mapato ya Ushuru wa Bidhaa yanayokusanywa kutoka kwenye bidhaa za uremb... Read More
Na WAF - Arusha Wataalam wa Sekta ya Afya kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wajadiliana kuanzishwa kwa kituo cha umahiri cha Sayansi ya Afya ya Kinywa chi... Read More