Na.Catherine Sungura,Ikungi Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama, ikiwa asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. ... Read More

Na.Catherine Sungura,Ikungi Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama, ikiwa asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. ... Read More
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na za binafsi zishirikiane na Serikali katika mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi ili kuokoa maisha ya wanawake na kue... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Ugonjwa wa homa ya Mgunda (Leptospirosis) ambao ulithibitishwa kimaabara nchini Julai 18, 2022 na kutolewa taarifa kwa umma kuwepo kwa ugonjwa huo u... Read More
Na WAF - MOROGORO. Wizara ya Afya kupitia Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuanza kuwasaka na kuwachukulia hatua za Kisheria Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanaotoa huduma kw... Read More
Na. Majid Abdulkarim, WAF - MWANZA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema kulingana na jumla ya idadi ya Vitongoji na Mitaa nchini, inatarajia kuwa na Wahudumu wa afya ngazi ya jamii 68,6... Read More
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa kutoka M... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Kituo cha mafunzo kwa njia ya mtandao kwa Watumishi wa Afya ambacho kitasaidia kukabiliana dhidi ya magonjwa mbalimbali ikiwemo ugonjwa wa UVIKO-19 kimezinduliwa... Read More
Na. WAF - Mtwara Watumishi wa Hospital ya Rufaa Kanda ya Kusini Mtwara kujengewa nyumba 20 vya malazi pamoja na kununuliwa magari mawili (Coster) na Gari kwa ajili ya Mkurugenzi ili kuw... Read More
Na. WAF - Mtwara Imethibitika kuwa njia ambayo ni salama ya kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 ni kupata chanjo hiyo kwa kuwa ukichanja utakuwa umejikinga na kuikinga jamii ya watanzania.... Read More
Wagonjwa wapatao 150 wanatarajiwa kupatiwa matibabu ya mfumo wa fahamu katika kambi ya siku tatu itakayofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Hospitali... Read More