Serikali imetoa wito kwa jamii kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu kwa kuzingatia kanuni za afya ikiwemo kutumia maji safi na salama... Read More

Serikali imetoa wito kwa jamii kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu kwa kuzingatia kanuni za afya ikiwemo kutumia maji safi na salama... Read More
Wizara ya Afya imeshiriki kwenye maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani, kitaifa visiwani Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuongeza uimara wa mawasiliano yake hasa katika vituo vya ... Read More
Na WAF - DAR ES SALAAM. Serikali imetoa rai kwa wadau na jamii kuendelea kuunga mkono ukuzaji wa bunifu zilizoshinda kwa kuweka mifumo wezeshi kwa wabunifu hususani katika eneo l... Read More
NA WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya na Global Fund kuendelea kushirikiana ili kuimarisha afua dhidi ya Malaria, Kifua Kikuu (TB) pamoja na UKIMWI kwa kuboresha ... Read More
Na WAF - Dodoma Ghala la kuhifadhia bidhaa za afya ikiwemo dawa lililojengwa mkoani Dodoma litasaidia kusambaza bidhaa hizo katika mikoa jirani ikiwemo Singida ili kurahish... Read More
Na. WAF, Morogoro Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini limevitahadharisha vyombo vya habari vinavyoendelea kurusha vipindi na matangazo yanayohusu tiba asili bila kibali, licha y... Read More
Na. WAF, Dodoma. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau imepiga hat... Read More
Na WAF, Morogoro Wizara ya Afya kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imeendelea kufanya zoezi la kutengeneza mkakati wa upimaji wa magonjwa ya Mpox, Marbug na Ki... Read More
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wametakiwa kuzingatia chanjo zinazotolewa kwa watoto chini ya miaka mitano na mabinti wenye umri wa miaka tisa ili kujikinga na magon... Read More
Na WAF - Simiyu Madaktari Bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kuondoa nyama za pua na mafindofindo kwenye koo (tonsils) zilizomsumbua mtoto mwenye umri wa miaka... Read More