Na WAF - Kibaha, Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango ameziagiza Wizara ya Afya na OR-TAMISEMI kuziwezesha idara za Afya kuanzia ngazi ya Ha... Read More

Na WAF - Kibaha, Pwani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango ameziagiza Wizara ya Afya na OR-TAMISEMI kuziwezesha idara za Afya kuanzia ngazi ya Ha... Read More
Na WAF - NAMTUMBO/TUNDURU. Mpangilio wa utoaji wa huduma za kibingwa na Ubingwa bobezi wa Madaktari bingwa wa Dkt. Samia katika Hospitali za Halmashauri 184 ikiwemo Halmashauri ya... Read More
Na. WAF - Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemchagua na kumpendekeza Dkt. Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa S... Read More
WAF, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wafadhili wa Global Fund wametoa vifaa vya Tehama kwa Ofisi ya Rais TAMISEMI ili kusaidia kuongeza upatikanaji wa Huduma bora za maa... Read More
Na WAF-MOROGORO Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ametoa wito kwa Viongozi wa Serikali wa Mikoa na Wilaya kushirikiana kwa pamoja na kwenda kumuomba Rais wa Jamhuri ya Muu... Read More
Na WAF - Njombe Wataalamu wa Afya nchini wametakiwa kuwekeza nguvu zao kuwahudumia wananchi, kwakuwa serikali imeweka mazingira rafiki na wezeshi ya kutoa huduma bora. Wito h... Read More
Na WAF, Iringa Madaktari bingwa wa Rais Samia wamesaidia katika kupunguza rufaa ya Watoto wachanga kwa zaidi ya asilimia 70 katika hospitali ya Manispaa Iringa Frelimo baada ya uanzishw... Read More
Na WAF - Lindi Wananchi zaidi ya 350 wamejitokeza na kupatiwa matibabu kwenye Kambi ya Maalumu ya madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa Rais Samia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa... Read More
Na WAF - Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu amewata Waganga Wafawidhi wa Hospitali nchini kuimarisha karakana za vifaa tiba katika hospitali zao ili ziweze kute... Read More
Na WAF, Kigoma Kambi ya Madaktari bingwa wa Dkt. Samia mkoani Kigoma imewapunguzia gharama za kufuata huduma za kibingwa na ubingwa bobezi kwa wananchi zaidi ya 650 kupitia huduma... Read More