Na WAF, DSM Serikali imesisitiza umuhimu wa sekta ya Umma na binafsi kushirikiana ili kuboresha huduma za matibabu ya saratani nchini. Wito huo umetolewa leo Oktoba 16, 2024 na Mga... Read More

Na WAF, DSM Serikali imesisitiza umuhimu wa sekta ya Umma na binafsi kushirikiana ili kuboresha huduma za matibabu ya saratani nchini. Wito huo umetolewa leo Oktoba 16, 2024 na Mga... Read More
Na WAF - Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Aboubakar Kunenge amewasihi Madaktari Bingwa ambao wameweka kambi ya kutoa matibabu mkoani humo kuhakikisha ujuzi na uwezo wa ki... Read More
Na WAF - DSM Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameiasa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 35 kuja na majibu ya kitafiti kutoka kwa wagonjwa watakayokuna na... Read More
Na WAF - Mwanza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kufanya mazoezi ili kuepuka tabia bwete inayosababisha kupata magonjwa yasiyoa... Read More
Na WAF Pwani Madaktari Bingwa 55 wa fani mbalimbali wanatarajia kutoa huduma za matibabu ya kibingwa na bobezi kwa siku saba katika Halmashauri tisa (9) za mkoa wa Pwani. Hayo yame... Read More
Na WAF - Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima amewapokea Madaktari Bingwa 49 wa Rais Samia kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa siku sita katika hospitali za halmasha... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na Mpox na Marburg. Akizungumza na wataalamu wa Afya wa Uwanja Ndege na Bandar... Read More
Na WaF Dodoma Kambi ya matibabu ya kibingwa yenye jumla madaktari bingwa 27 wa kujitolea iliyoratibiwa na Taasisi inayojihusisha na kutoa huduma kwa wagonjwa na yatima (JAI) kwa kushiri... Read More
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imesisitiza umuhimu wa kuzingatia usiri katika utoaji wa huduma kwa watu, hasa wenye Virusi vya Ukimwi (VVU), ili kuendelea kutimiza... Read More
Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imendelea kushirikiana na wadau ili kutokomeza ugonjwa wa Saratani nchini ikiwemo utolewaji wa elimu pamoja na kuhimiza upatikanaj... Read More