Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula vyakula vyenye kuongeza madini ya ‘Folic’ ili kuongeza kinga ya kumkinga... Read More

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula vyakula vyenye kuongeza madini ya ‘Folic’ ili kuongeza kinga ya kumkinga... Read More
Juhudi za pamoja na Ubunifu baina ya Serikali na Sekta mtambuka zinahitajika ili kutokomeza Ugonjwa wa Malaria na Magonjwa yasiyopewa kipaumbele ifikapo mwaka 2030. Hayo yamesemwa leo na ... Read More
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC) leo Juni 23 2022 wamepitisha kwa kishindo mapendekezo ya Bima ya Afya kwa wote nchini. Wajumbe hao wamepitisha mapendekezo hayo kwenye semina ... Read More
Na WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imelenga kufikia asilimia 70% ya watu waliochanja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Dunia ... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa kiasi cha Bilioni 4.4 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kutolea Huduma za Radiolojia, jengo la kufua hewa ya oksijeni pamoja na uboreshaji wa hu... Read More
Wadau wa Mfuko wa Afya wa pamoja nchini (Health Basket Fund) wamepanga kuchangia kiasi cha shilingi Bilioni 98.1 kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini kwa mwaka 2022/2023. ... Read More
Kutoka Dodoma, Juni 17, 2022. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo Juni 17,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na mwakilishi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa upande wa wanawak... Read More
Tanzania haijafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani linalopendekeza nchi kukusanywa idadi ya chupa za damu ambazo ni sawa na asilimia 1 ya idadi ya w... Read More
Balozi wa Cuba nchini Bw. Yordenis Despaigne leo ametembelea Wizara ya Afya kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Mhe. Waziri. Balozi huyo amekutana na Naibu Waziri Dkt. Godwi... Read More
Kutoka Paris,Ufaransa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imekubali kutoa msaada wa dola za Kimarekeni milioni 15 sawa na shilingi ... Read More