Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia mbili mwenye muonekano wa... Read More

Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke wamefanikiwa kufanya upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia mbili mwenye muonekano wa... Read More
Na Mwandishi Wetu-Dodoma KATIKA juhudi za kutatua changamoto ya uhitaji wa damu Salama nchini,Serikali imeziagiza hospitali za Mikoa kufikia lengo la kukusanya damu kwa ... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Halmashauri nchini kuwapima ugonjwa wa Sikoseli watoto wote wanaozaliwa katika Hospi... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka wananchi kufanya uchunguzi wa awali wa kupima Saratani ya Matiti ili kujua hali zao na kupata matibabu mapema k... Read More
Na. WAF - Dodoma Waganga wakuu wa Mikoa nchini wametakiwa kuwajibika katika majukumu yao kwa kuzingatia kanuni, sheria, taratibu na miiko ya taaluma zao ili kuende... Read More
Na. WAF, Handeni -Tanga Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni itakwenda kuwa msaada mkubwa wa kuhudumia majeruhi na kuokoa maisha ya wananchi watakao pata ajali katika barabara ya... Read More
Na. WAF, Handeni- Tanga WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi kwenye hospitali ya Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuwasisitiza viongozi waisimamie na kuikamilish... Read More
Na. WAF, Handeni -Tanga Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili ameleta kias... Read More
Na. WAF Dar es Salaam Taasisi ya Sasakawa Health Foundation chini ya Mwavuli wa Taasisi Mama ya The Nippon Foundation ya Nchini Japan wameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania... Read More
Na. WAF - Bonn, Ujerumani Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya imesisitiza kuendelea kusimamia matumizi salama ya Kemikali na taka zitokanazo na Kemikali ili kuzuia ... Read More