Na. WAF Dar es Salaam Taasisi ya Sasakawa Health Foundation chini ya Mwavuli wa Taasisi Mama ya The Nippon Foundation ya Nchini Japan wameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania... Read More
News
Na. WAF - Bonn, Ujerumani Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya imesisitiza kuendelea kusimamia matumizi salama ya Kemikali na taka zitokanazo na Kemikali ili kuzuia ... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema takwimu za Wizara ya Afya kupitia MTUHA (DHIS -2) zinaonesha kumekuwa na ongezeko la asilimia 9.4 kwa ma... Read More
Na WAF - Dodoma Wananchi wametakiwa kuwachanja wanyama wanaowafuga ili kujikinga na kupambana na ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Kati... Read More
Na. WAF, Moshi Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameitaka manejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kuimarisha ushirikiano ili kuboresha ubora wa ... Read More
Na. WAF, Moshi Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema Huduma za maabara ndiyo msingi mkuu wa Hospitali katika kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha. Dk. Mollel amebain... Read More
Na. WAF - Atlanta, Marekani Taasisi ya kukinga na kudhibiti Magonjwa ya Marekani (US - CDC) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuimarisha huduma za Af... Read More
Na. WAF - Dodoma Wizara ya Afya kupitia idara ya Sera na Mipango imeanza kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kufanya mapitio ya Sera ya chakula na lishe ya Taifa... Read More
Na. WAF - Washington USA. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimeingia makubaliano na Serikali ya Marekani juu ya uboreshaji... Read More
Na. WAF – Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema lengo la kuwepo na Mifuko ya Bima ya Afya ni wananchi kuchangiana gharama za matibabu kabla ya kuugua ili ... Read More