Na WAF – DSM Serikali ya Tanzania imeonekana kupiga hatua katika kukabiliana na dharura za kiafya pamoja na magonjwa ya milipuko kutoka asilimia 48 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 63 m... Read More
News

Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Wananchi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasogezea huduma za upasuaj... Read More

WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha maeneo ambayo yamelengwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto (UNICEF) ili kuboresha Sekta ya Afya nch... Read More

Na. WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuongeza nguvu ya kudhibiti bidh... Read More

Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Wagonjwa zaidi ya 500 wenye matatizo ya mtoto wa jicho wanatarajiwa kupatiwa huduma ya upasuaji wa mtoto wa jicho kutoka kwa madaktari bingwa wa macho amba... Read More

Na WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuongeza kasi na Ufanisi wa utoaji ... Read More

Mwanamitindo na Mwigizaji wa Kimataifa Molly Sims ambaye ni Mke wa Mwenyekiti wa Netflix Films, Scott Stuber, amechangia Dola Elfu 25 ambayo sawa na shilingi Milioni 62 za Kitanzania kwa aji... Read More

Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo ya mtoto wa jicho amba... Read More

Na WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI imeitaka Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini kuongeza kasi ya usambazaji wa bidhaa za Dawa pamoja na kuwa na maghala ya... Read More

Na WAF, Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka wataalam wa TEHAMA kufanyia kazi mifumo ya taarifa ya Wizara ili iweze kuwasiliana na kuwa na mifumo michache y... Read More