Mwanamitindo na Mwigizaji wa Kimataifa Molly Sims ambaye ni Mke wa Mwenyekiti wa Netflix Films, Scott Stuber, amechangia Dola Elfu 25 ambayo sawa na shilingi Milioni 62 za Kitanzania kwa aji... Read More

Mwanamitindo na Mwigizaji wa Kimataifa Molly Sims ambaye ni Mke wa Mwenyekiti wa Netflix Films, Scott Stuber, amechangia Dola Elfu 25 ambayo sawa na shilingi Milioni 62 za Kitanzania kwa aji... Read More
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo ya mtoto wa jicho amba... Read More
Na WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI imeitaka Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini kuongeza kasi ya usambazaji wa bidhaa za Dawa pamoja na kuwa na maghala ya... Read More
Na WAF, Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka wataalam wa TEHAMA kufanyia kazi mifumo ya taarifa ya Wizara ili iweze kuwasiliana na kuwa na mifumo michache y... Read More
Taasisi ya Afya Check kwa kushirikiana na Mbunge wa Tanga Mjini, Mhe Ummy Mwalimu na Halmashauri ya Jiji la Tanga imeandaa kambi maalumu ya wananchi kupima afya zao bure ikiwa ni sehemu ya k... Read More
Na WAF – DSM Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo inaweka Mkakati wa kukabiliana na dharula, magonjwa ya milipuko na matukio yenye athari kiafya yatakayotokea nchi... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha Hospitali zote Nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti (NICU) na kushuka had... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali inatarajiwa kujenga Hospitali ya Wilaya ya Temeke katika eneo la Vikuruti lilipo Chamazi, Mbagala katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke mkoani Dar es... Read More
Na: Shaban Juma, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Y. Janabi amewataka Wananchi kupima afya zao kabla ya kufanya mazoezi ili kusaidia katika kuboresha ... Read More
Na WAF, Dodoma. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization) Hayo yamesemwa na Mkurugenzi ... Read More