Na. WAF, SAME Madaktari bingwa wa Rais Samia wamerejesha furaha ya Zaina Mdee (46) mkazi wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro aliyesumbuliwa na tatizo la meno kwa zaidi ya miaka 27 sasa... Read More

Na. WAF, SAME Madaktari bingwa wa Rais Samia wamerejesha furaha ya Zaina Mdee (46) mkazi wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro aliyesumbuliwa na tatizo la meno kwa zaidi ya miaka 27 sasa... Read More
Na WAF - Bungeni, Dodoma Imetajwa kuwa kaya masikini zipatazo Milioni 1.2 nchini zitanufaika na mpango wa Serikali wa kusaidia kaya zisizojiweza ili ziweze kupata huduma za afya kupitia... Read More
Na WAF - Pangani, Tanga Madaktari Bingwa wa Rais Samia waliopo katika Hospitali ya wilaya ya Pangani Jijini Tanga wawezesha kutumika na kufungwa kwa mashine ya usingizi na ganzi baada y... Read More
Na. WAF - HAI Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Hai Dkt. Emmanuel Minja amesema kuwa wananchi wa wilaya hiyo wamejitokeza kwa wingi kupata huduma za kibingwa na ubingwa bobezi k... Read More
Na WAF- Dar es Salaam, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu ametoa angalizo kwa wadau wa sekta ya afya kuhakikisha kuwa huduma za afya zinazopendekezwa kupewa kipaumbele zinajumu... Read More
Na WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 14 kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya mafunzo ya kibingwa na ubingwa bobezi kwa wataalamu wa afya... Read More
Na. WAF – Tanga Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Dkt. Batilda Burian amesema ujio wa Madaktari Bingwa wa Rais Samia utapunguza matatizo ya afya kwa wananchi wa mkoa huo na mikoa jirani samb... Read More
Na. WAF - Kilimanjaro Uongozi wa Serikali katika Mkoa wa Kilimanjaro umetoa wito kwa timu ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia kuwa chachu ya kuleta weledi wa utendaji kazi kwa wataalamu w... Read More
WAF Dar es Salaam Wadau wa maendeleo katika sekta ya afya wameahidi kuendelea kuchangia sekta ya hiyo wakati wa utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote. Akizungumza katika k... Read More
Na WAF - ARUSHA Jumla ya Madaktari Bingwa wa Rais Samia wapatao 49 wamepokelewa mkoani Arusha na uongozi wa mkoa huo kwa ajili ya kambi ya matibabu ya siku sita kwa wilaya zote saba za ... Read More