Na WAF - Dodoma Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati ikielekea kutekelea sheria ya Bima ya Afya kwa wote, Wajumbe wa Bodi mpya ya Wa... Read More
News
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Januari 20, 2025 ameambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) DKt. Tedros Ghebreyesus kukagua huduma za afya y... Read More
Na WAF - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga zaidi ya Shilingi Bilioni Saba za kitanzania kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa lengo la kukarabati Kituo cha Afya Makole ili kiwe c... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera. Ta... Read More
Na WAF - Pwani Wauguzi na wakunga wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa ili kuboresha utoaji wa huduma za afya, kuanzia huduma za afya ngazi ya msingi. Hayo yamesemwa ... Read More
Na WAF, TEMEKE Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke Dkt. Joseph Kimaro amesema wananchi zaidi ya 2000 wamefanikiwa kupata huduma ya matibabu ya kibingwa kweye kambi ya S... Read More
Na WAF, Dodoma Wanataaluma ya optometria nchini wametakiwa kutoa huduma kwa wananchi kwa kuzingatia mawanda ya majukumu yao pamoja na sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya taaluma zao... Read More
Na WAF Dar, es Salaam Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam inatarajia kuanza zoezi la umezeshaji wa Kingatiba dhidi ya magonjwa ya matende na mabusha au ngirimaji... Read More
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amelitaka Baraza jipya la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kuwachukulia hatua kali wauguzi na wakunga watakaokiuka misingi ya sheria... Read More
NA WAF-Dodoma Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa kiwango kikubwa, huku mfumo wa usafiri wa dharura, M-Mama ukichangia kuokoa maisha ya akinamama na watoto wacha... Read More