Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wiza... Read More

Wakuu wa Idara wa hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwl.JK Nyerere wametakiwa kuweka mkakati wa kuboresha huduma za afya kwenye hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Wiza... Read More
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema anataka Hospitali ya kumbukumbu ya Mwl. J.K. Nyerere kutoa huduma za ubobezi katika magonjwa ya mifupa na ajali maeneo ya kanda wa ziwa ili kupunguza... Read More
Katika kipindi cha miaka kumi nchi imeshuhudia ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani unaochangangiwa na mtindo wa Maisha usiozingatia lishe Bora ikiwa ni Pamoja na kutokufanya ... Read More
Na Englibert Kayombo WAF – Singida Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wataalam wa afya nchini kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Ukoma ili ifikapo Mwaka 2030 ug... Read More
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameiagiza Menejimenti ya MSD kutatua changamoto za upatikanaji wa dawa katika vituo vya kutolea huduma za Afya nchini. Waziri Ummy ametoa agizo h... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya inajipanga kupunguza idadi ya Watoto wanaozaliwa na maambukizi ya VVU kutoka kwa mama nchini. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalim... Read More
Na WAF – Moshi, Kilimanjaro. Viongozi wa Dini na Kimila wa Mkoa wa Kilimanjaro wameombwa kushirikiana na Serikali katika kuelimisha wananchi kujikinga na ugonjwa wa UVIKO-19 pamoja na kut... Read More
Na. Wizara ya Afya - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh: Mil. 864 vitavyosaidia katika kupambana dhidi ... Read More
Na. Wizara ya Afya - Dar es salaam Serikali imepokea msaada wa Dawa zenye thamani ya Mil. 341 kwa ajili ya kampeni ya minyoo pamoja na kuongeza virutubisho kwenye mwili kutoka ka... Read More
Na Mwandishi Maalum Wanahabari watatu wa Tanzania wameibuka kidedea katika tuzo za umahiri uandishi wa habari kuhusu afya ya uzazi, Barani Afrika za 'Merck More Than a Mother - 2021}, ... Read More