Mtandao wa Wabunge Vinara wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu wametakiwa kuendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huo wanaporudi majimboni Hayo yamesemwa na Naibu Mwenyekiti Mhe. Sebastian Kapu... Read More

Mtandao wa Wabunge Vinara wa Mapambano dhidi ya Kifua Kikuu wametakiwa kuendelea kutoa elimu kuhusu ugonjwa huo wanaporudi majimboni Hayo yamesemwa na Naibu Mwenyekiti Mhe. Sebastian Kapu... Read More
Serikali kupitia Wizara ya afya imetenga billion 8 kusomesha watalaamu wa afya, ndani na nje ya nchi , katika fani mbalimbali za kibingwa ikiwemo upasuaji wa watoto. Hayo yamesemwa leo na... Read More
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuandika historia baada ya kut... Read More
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema Wizara ya Afya imesitisha matumizi ya fomu ya Bima ya Afya (NHIF) ya kununulia dawa nje ya kituo cha kutolea huduma za afya (FORM 2C) kwa Hospi... Read More
Na WAF- SINGIDA Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe amesema, Serikali kupitia Wizara ya Afya na OR-TAMISEMI imelenga kupunguza vifo vya Wajawazito na watoto kupitia mikata... Read More
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezindua mitambo wa hewa tiba ya Oksijeni wenye thamani ya bilioni 1.5 kwenye hospitali ya Benjamnin Mkapa iliyoko jijini Dodoma. Waziri Ummy amesema usimikaj... Read More
Serikali ilitoa Shilingi Bilioni 263 ya fedha za ahueni ya UVIKO-19 ili kuboresha Hospitali za rufaa za mikoa kati ya fedha hizo hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma ilipewa kiasi cha bilion... Read More
Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imetakiwa kutomrudisha mgonjwa yeyote wa Saratani nyumbani kwa sababu ya kutokuwa na pesa za matibabu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya wakati ak... Read More
Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameitaka Bodi mpya ya wadhamini katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road kusimamia ubora wa huduma zinazotolewa katika Taasisi hiyo pamoja na kuweka mf... Read More
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa wito kwa wanawake walio kwenye umri wa kuzaa au wanaopanga kupata watoto kula vyakula vyenye kuongeza madini ya ‘Folic’ ili kuongeza kinga ya kumkinga... Read More