Na WAF- DSM MWENYEKITI wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo amelitaka Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuimarisha usimamiaji wa She... Read More

Na WAF- DSM MWENYEKITI wa kamati ya Bunge ya kudumu ya Afya na masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo amelitaka Baraza la Tiba asili na Tiba mbadala kuimarisha usimamiaji wa She... Read More
Na. WAF - Songwe Timu za Usimamizi na Uendeshaji wa huduma za Afya ngazi ya Mkoa (RHMT) na Halmashauri zote za Mkoa (CHMT) wametakiwa kufanya majukumu yao kwa wakati ikiwem... Read More
Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Songwe Dkt. Francis Michael kuwahimiza Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa huo kuwalipa watumishi ... Read More
NA WAF- DSM Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewaelekeza Wafamasia katika ngazi zote kuhakikisha wanaagiza dawa kulingana na aina ya magonjwa yanayoisumbua jamii yao pamo... Read More
Na. WAF, Mtwara Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu leo tarehe 13/9/2023 ametembelea Hopsitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula na kukagua miradi ya jengo jipya la upasu... Read More
Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe ukamilike ndani ya miezi Sita hasa jengo la mama na mtoto, jengo la wagonjwa wa dharura (EMD) na jengo la wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa kar... Read More
Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma kwa kuajiri watumishi wa Afya wa mkataba kwa kutumia mapato ya ndani. ... Read More
Na. WAF - Songwe Serikali itaendelea kuajiri watumishi wa Afya nchini kwa kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatoa kibali cha kuajiri watumishi wapya katika Sekta ya Afya ... Read More
Na. WAF - Songwe Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa zaidi ya watoto laki Nne wanatarajia kupata chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio katika Mkoa wa Songwe. ... Read More
Na WAF- DSM Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imetoa wito kwa Serikali kuendelea kuweka kipaumbele katika utekelezaji wa afua mbalimbali za lishe nchin... Read More