Tanzania haijafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani linalopendekeza nchi kukusanywa idadi ya chupa za damu ambazo ni sawa na asilimia 1 ya idadi ya w... Read More

Tanzania haijafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani linalopendekeza nchi kukusanywa idadi ya chupa za damu ambazo ni sawa na asilimia 1 ya idadi ya w... Read More
Balozi wa Cuba nchini Bw. Yordenis Despaigne leo ametembelea Wizara ya Afya kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na Mhe. Waziri. Balozi huyo amekutana na Naibu Waziri Dkt. Godwi... Read More
Kutoka Paris,Ufaransa Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imekubali kutoa msaada wa dola za Kimarekeni milioni 15 sawa na shilingi ... Read More
Na WAF – Bungeni, Dodoma. Licha ya matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kuwa na gharama kubwa na yana hitaji tiba wakati wote, Serikali imekuwa ikitoa msamaha wa matibabu kwa wagonjwa wana... Read More
Waziri wa Afya Ummy,leo tarehe 6 Juni, 2022 amewasili katika Jiji la Paris , Ufaransa kuhudhuria kikao cha Jumuia ya Wafadhili wa Huduma za Afya ya Mama na Mtoto (Global Financing Facility -... Read More
NA WAF - DOM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa miezi miezi miwili kwa TMDA kushirikiana na Tume ya madawa ya kulevya nchini kufanya utafiti wa shisha kuwekwa madaw... Read More
Na. WAF - Kigoma Changamoto ya upungufu wa dawa inaenda kuwa historia nchini baada ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi kupiga marufu utolewaji wa fomu namba 2C kuan... Read More
Na WAF - Kigoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameshauri kuondolewa kwa Mganga Mkuu wa Wilaya Kigoma kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha huduma... Read More
Na. WAF-Moshi Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza fedha kwa ajili ya kuboresha miundimbinu ya kutolea huduma za afya ikiwemo hospitali za rufaa za mikoa ambapo Hospitali ya Rufaa ya... Read More
Na. WAF - Kigoma Maadhimisho ya Hedhi Salama Duniani yametoa fursa ya upimaji afya wa Magonjwa mbalimbali pamoja na utoaji wa elimu juu ya Afya unaendele katika viwanja vya... Read More