Na WAF, NJombe. Mhe. Anthony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Njombe ameongoza kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii. ... Read More

Na WAF, NJombe. Mhe. Anthony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Njombe ameongoza kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii. ... Read More
Na WAF - Dodoma Ujenzi wa chuo cha Afya Vwawa Mkoani Songwe utaanza Oktoba, 2024 ambapo kwa sasa Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga jumla ya Tsh: Bilioni 2.9 kwa mwaka wa fe... Read More
Na. WAF, Lindi. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewasihi viongozi wa wilaya na mkoa kuzingatia Weledi katika utek... Read More
Na WAF, Tabora Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paul Matiko Chacha amewalekeza viongozi wote ngazi ya Mkoa na Halmashauri kuhakikisha kuwa wanatekeleza mpango Jumuishi wa Wahudumu w... Read More
Na WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amewawaagiza watumishi na wataalam wote wa Afya nchini kuimarisha mahudhurio kwa kuhakikisha wanakuwepo maeneo... Read More
Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanza rasmi utekelezaji za Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa A... Read More
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali imetenga bajeti kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha matibabu ya Saratani katika Mkoa wa Mbeya. Waziri Ummy leo ... Read More
Na WAF – Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye amewataka Madaktari Bingwa wa Rais Samia kufanya kazi kwa upendo uadilifu, weledi na utu katika utoaji wa huduma za kib... Read More
Na WAF – Dodoma Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD) kushirikiana na Wabunge kusambaza vifaa tiba ikiwemo vitanda vy... Read More
Na WAF - Katavi Ujio wa Madaktari Bingwa wa Rais Samia katika mkoa wa Katavi utasaidia wananchi kupata huduma za kibingwa kwa gharama nafuu katika hospitali za wilaya zao hivyo wa... Read More