Na WAF - Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhruri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zita... Read More

Na WAF - Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhruri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zita... Read More
NA WAF - MBEYA Wagonjwa 500 wa Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, na maeneo ya jirani wanatarajiwa kunufaika na kambi ya huduma mkoba ya matibabu ya kibingwa kwa kufanyiwa upasuaji wa mtot... Read More
_Ashiriki kama Mjumbe akiwakilisha Mashariki na Kusini mwa Bara la Afrika (ESA)_ Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ameshiriki kikao cha 52 cha Bodi ya Mfuko wa Dunia (52nd G... Read More
Na WAF - Dodoma. Serikali imeazimia kuimarisha mnyororo wa ugavi na upatikanaji wa kondom nchini sambamba na utoaji wa elimu ili kuwafikia wananchi wote wenye mahitaji hadi maeneo ya pe... Read More
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ametoa wito kwa wananchi kuacha kusikiliza taarifa za upotoshaji zinazozagaa na badala yake kuwa na imani na juhudi za jeshi letu na timu ya uokoaji... Read More
Na WAF - Dodoma Wadau wa afya wamekutana kwa ajili ya kufanya mapitio ya hali ya ugonjwa wa kifua kikuu nchini, lengo likiwa ni kuboresha mikakati ya kupambana na kupunguza maambukizi y... Read More
Na WAF - Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ameelekeza wakuu wa wilaya na watendaji wa mitaa na vijiji katika mkoa huo kuhakikisha kila mtaa unakuwa na kikundi cha ku... Read More
Maafisa Ustawi wa Jamii wameishauri Serikali kuona umuhimu wa kushiriki katika kutoa mafunzo kwa wahudumu ngazi ya jamii kwa kuwa wamekuwa wakifanya kazi na jamii. Akizungumza Novemba 1... Read More
Na WAF, NJOMBE Wahudumu wa afya ngazi ya jamii katika halmashauri za mkoa wa Njombe watatatua changamoto za kiafya zinazojitokeza ndani ya jamii ikiwa ni pamoja na udumavu na ukosefu wa... Read More
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa jamii kuchukua hatua stahiki kuzuia ugonjwa wa kisukari na magonjwa mengine yasiyoambukiza kwa kubadili mtindo wa maisha. ... Read More