Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda. ... Read More

Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda. ... Read More
Na WAF - Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wa Sekta ya Afya wamepanga kuendelea kushirikiana katika kuboresha Sera ya Lishe na kutekeleza afua za lishe nchini. ... Read More
Na.Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waganga Wakuu wa Wilaya pamoja na Waratibu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko wametakiwa kujidhatiti katika kukabiliana na tishio la Ugonjwa wa Eb... Read More
Na. Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kuj... Read More
Na. Hassan Kimweri, WAF - Kagera Waandishi wa Habari mkoani Kagera wameshauriwa kutoa taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Ebola ambao umekuwa tishio na kuuwa watu nchini Uganda. Kauli... Read More
VIFAA TIBA KUPELEKWA KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE Na.Catherine Sungura,WAF-Misenyi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza kupelekwa kwa vifaa tiba ikiwemo mashine ya usingizi na ... Read More
Na. Catherine Sungura, WAF-Kagera Serikali inatarajia kujenga kituo maalumu cha matibabu ya magonjwa ya milipuko Mkoani Kagera. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy ... Read More
Na. Catherine Sungura, Morogoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itakua bega kwa bega na waganga wa Tiba Asili ... Read More
Na WAF- MWANZA WIZARA ya Afya kupitia Idara ya tiba imetoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma kwa Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa zote nchini ikiwa ni sehemu ya m... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuhakikisha upatikanaji na ugawaji wa kingatiba zinapatikana na kuzigawa katika jamii kwenye maeneo yaliyo athir... Read More