Na WAF- Dodoma Katibu Mkuu wa wizara ya Afya Dkt John Jingu amewataka Waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya kuhakikisha wanasimamia na kuimarisha mawasiliano baina... Read More

Na WAF- Dodoma Katibu Mkuu wa wizara ya Afya Dkt John Jingu amewataka Waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya kuhakikisha wanasimamia na kuimarisha mawasiliano baina... Read More
Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma imeanza kambi ya upasuaji wa moyo kwa watu wazima. Daktari Bingwa wa Moyo wa BMH, Dkt Kelvin Masava, amesema leo kuwa kambi hii ... Read More
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni mbili kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa wa... Read More
Na WAF - Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amewataka Madaktari, Wauguzi, Wataalamu wa maabara na Wataalamu wote wa afya kuwa na utaratibu wa kupita maeneo ya... Read More
Watanzania 700 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa moyo kwenye kambi ya moyo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Daktari Bingwa Moyo wa BMH, Dkt Calvin Masava,... Read More
Na WAF - Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amesema uwepo wa takwimu za hali ya Lishe kila Mwezi zitasaidia Serikali na wataalamu wa masuala ya lishe nchin... Read More
Inakadiriwa kuwa takribani watu milioni 50 duniani wana ugonjwa wa kifafa na wengine wapya milioni sita wanagundulika kila mwaka ambapo nchini Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya milioni m... Read More
Na WAF - Dodoma Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2 ili kuepuka madhara yanayowez... Read More
Na. WAF - Zanzibar Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameendelea kuwasisitiza wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha ili kuepuka magonjwa Yasiyoambukiza kwa kuwa ... Read More
Na, WAF - Zanzibar Wagonjwa wa moyo zaidi ya 800 wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo huku wengine zaidi ya 2,000 kufanyiwa upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo wa ‘... Read More