Na: WAF – Dar es Salaam Nchi za Tanzania na China zimekubaliana kuanzisha mfumo wa wa pamoja wa upatikanaji wa vifaa tiba vinavyotumika kutoa huduma za matibabu ya moyo kutoka nchini Ch... Read More

Na: WAF – Dar es Salaam Nchi za Tanzania na China zimekubaliana kuanzisha mfumo wa wa pamoja wa upatikanaji wa vifaa tiba vinavyotumika kutoa huduma za matibabu ya moyo kutoka nchini Ch... Read More
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hoslitali zote za Umma kutekeleza kwa ukamilifu maelekezo yaliyokwisha tolewa na Serikali ya Marufuku Hospitali kuzuia miili ya marehemu kwa kigezo... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuimarisha na kuwekeza kwenye Afya za vijana balehe hasa katika hali za Lishe, Afya ya Akili pamoja na elimu ili k... Read More
Bohari ya Dawa (MSD) imeanza kutekeleza agizo la Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu la kusambaza vifaatiba vya Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto katika Majimbo yote 214 Tanzania bara. ... Read More
Na. WAF - Mbeya Serikali kupitia Wizara ya Afya imepongezwa kwa juhudi kubwa inayoendelea kufanya za kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, mama na mtoto ikiwa ni kipaumbele cha Rais Dkt.... Read More
Na. Majid Abdulkarim, Dodma Wizara ya Afya imepokea paketi 2,952 sawa na pedi 29,520 ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Kampeni ya kuchangia pedi kwa wanafunzi ambazo zitagawiwa kwa wasi... Read More
Na. WAF - Dodoma Serikali ya Tanzania imetuma madaktari bingwa 12 kwenda nchini Zambia kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo kwa watoto hii ikiwa ni sehemu ya kuendelea kutanu... Read More
Wazazi wameaswa kufuatilia michezo ya watoto kwa karibu zaidi na kuwazuia kuweka vitu mdomoni, puani pamoja na maskioni ili kuwaepusha na madhara mbalimbali ikiwemo madhara ya kudumu n... Read More
Na. WAF - Dodoma Sekta ya Afya kuendelea kuweka kipaumbele ajenda ya kupunguza vifo vya mama na mtoto katika vikao vinavyofanyika ngazi zote za Mkoa ili kuendelea kupung... Read More
Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Vir... Read More