Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutengeneza mazao ya damu salama ili kuweza kuongeza wigo wa upatikanaji wa plasma kwa ajili ya kuokoa M... Read More

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameziagiza Hospitali za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutengeneza mazao ya damu salama ili kuweza kuongeza wigo wa upatikanaji wa plasma kwa ajili ya kuokoa M... Read More
NA. WAF - DODOMA SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imekabidhi magari Sita yenye thamani ya Shilingi milioni 500 kwaajili ya kusaidia shughuli za maji na usafi wa mazingira katika Mikoa ya... Read More
Na. WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu mapema leo amemkaribisha Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Tanzania Dkt. Charles Sagoe-Moses na ameagana na... Read More
Na WAF- Dodoma Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amezindua Baraza jipya la Madaktari Tanganyika linalotarajia kudumu kwa muda wa miaka mitatu, huku moja ya jukumu la Baraza hilo ni ... Read More
NA WAF - BUNGENI DODOMA NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa, asilimia 70 ya Mapato ya vituo vya huduma za Afya vya Serikali pamoja na binafsi vinategemea Mfuko wa T... Read More
Na. WAF - Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe mapema leo amekutana na timu ya wawakilishi kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS) wanaosimamia mradi ... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri Ummy na Balozi wa Ireland nchini Tanzania Mhe. Mary O’Neillleo wamekutana leo June 4, 2023 na kufanya mazungumzo katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar E... Read More
Na WAF- Bukoba Kagera. Waziri wa Afya Mhe @ummymwalimu ameutarifu umma wa Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla kuwa Tanzania imeweza kupambana na kudhibiti ugonjwa wa Marburg na hivi... Read More
Na. WAF - Ukerewe, Mwanza Hekari 16 zimetengwa katika Wilaya ya Ukerewe, Kata ya Bulamba Kijiji cha Bukindo kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali yenye hadhi ya Mkoa itakayosogeza karibu upa... Read More
Na WAF, Bungeni Dodoma. NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa, katika kukabiliana na changamoto ya upungufu wa dawa za wazee, Serikali imekuja na mkakati wa kuhakikis... Read More