Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia kanuni za usafi binafsi, ikiwemo kunawa mikono na uso kwa kutumia maji safi na tiririka, ili kujikinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza yakiwemo Trakoma. ... Read More
Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia kanuni za usafi binafsi, ikiwemo kunawa mikono na uso kwa kutumia maji safi na tiririka, ili kujikinga dhidi ya magonjwa ya kuambukiza yakiwemo Trakoma. ... Read More
Na, WAF-Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Afya na Masuala ya UKIMWI, Dkt. Johannes Lukumay amesema kamati imeridhishwa na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa Bima ya Af... Read More
Na WAF, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema kuwa uhamasishaji wa wawekezaji wa viwanda vya dawa nchini ni mpango wa Taifa ulioanzishwa na Rais Samia Suluhu Ha... Read More
Na WAF, Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China kuwekeza Tanzania kwenye sekta ya viwanda vya Dawa na Vifaa tiba ikiwa na sehe... Read More
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya afya imefanya marekebisho ya mifumo ya TEHAM ili kurahisisha na kudhibiti matumizi yasiyo ya lazima wakati wa upatikanaji wa huduma kwenye hosp... Read More
Na WAF- Dar es salaam. Serikali kupitia Wizara ya Afya imefungua milango kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ikiwa na shabaha ya kuongeza uzalishaji wa dawa na vifaa tiba ili nchi iw... Read More
Na WAF, Dodoma. Serikali imedhamiria kuimarisha uzalishaji wa bidhaa za afya (dawa, chanjo, vifaa tiba) na kukuza uwekezaji wa viwanda wa bidhaa hizo hapa nchini hatua itakayochangia ku... Read More
Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa amezitaka Taasisi ambazo ziko chini ya Wizara ya Afya na Vituo vyote vya kutolea huduma kujitathmini utendaji kazi wake, mapungufu ... Read More
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 3 kwa ajili ya kuwawezesha watu kuweza kupata huduma za Upandikiz... Read More
Na WAF, Dodoma. Wadau wa Sekta ya Afya kwenye uzalishaji wa bidhaa za afya (dawa na vifaatiba) wazidi kujitokeza kuonyesha nia ya ushirikiano na na Serikali katika upatikanaji wa... Read More