Na WAF MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya afya ambao umeubadilisha mkoa huo.&n... Read More
Na WAF MWANZA: Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya afya ambao umeubadilisha mkoa huo.&n... Read More
Na Atley Kuni, WAF-Mwanza Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt.Grace Magembe, amewataka Watanzania kuchukua hatua madhubuti za kubadili mtindo wa maisha ili kukabiliana na ongezeko... Read More
Na Shaban Juma, Dodoma Serikali imeongeza kasi ya mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI kwa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na Taasisi ya EGPAF, hatua inayolenga kutokomeza kabisa... Read More
Na Atley Kuni, WAF-Mwanza Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amezindua rasmi kampeni ya “Jua Namba Zako” huku akitoa wito kwa watumishi wa afya nchini, hususan wa Kanda ya... Read More
Na, Aisha Swahibu, WAF - Kilimanjaro Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuendelea kuongeza uwekezaji katika mafunzo, ajira, motisha na mazingira ya kazi kwa wakunga... Read More
Na Atley Kuni, WAF-Dodoma Watumishi wa Wizara ya Afya wameshekea Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani kwa kufanya matendo ya Huruma mara baada ya kuchangia vitu mbalimbali vyenye... Read More
Na Aisha Swahibu, WAF – Arusha Wakufunzi wa vyuo vya kati vya kada ya afya wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko katika utoaji wa huduma bora za afya kwa kuhakikisha wahitimu wao ... Read More
Na Atley Kuni, WAF-Morogoro Wizara ya Afya kwa kushirikiana na mdau KOFIH imewapa mafunzo ya siku tatu Wataalam wa Maabara nchini wanaotarajiwa kutumia miongozo yenye viwan... Read More
Na Hassan Kimweri, WAF - Pwani Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo pamoja na nchi jirani katika kuimarisha ... Read More
Serikali ya Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kutokubali jiografia kuwa kikwazo cha ukosefu wa huduma bora za afya kwa wananchi hususani watoto. Hayo yamebainishwa na waziri wa Afya ... Read More