Bohari ya Dawa (MSD), imetwaa tuzo ya Mlipa kodi Bora kwa mwaka 2023 ya Mamlaka ya Kodi Tanzania. Tuzo hizo zilitolewa jana usiku katika hafla maalum ya wiki ya Mlipakodi zilizofanyika ... Read More

Bohari ya Dawa (MSD), imetwaa tuzo ya Mlipa kodi Bora kwa mwaka 2023 ya Mamlaka ya Kodi Tanzania. Tuzo hizo zilitolewa jana usiku katika hafla maalum ya wiki ya Mlipakodi zilizofanyika ... Read More
Na WAF - Luanda, Angola. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu amemuwakilisha Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu katika mkutano wa Jumuiya ya SADC wa Mawaziri wa Afya na Mawazir... Read More
Na WAF – DAR ES SALAM Mpango Mpya wa Kudhibiti UKIMWI, Magonjwa ya Ngono na Homa ya Ini (NASHCoP) umezinduliwa leo rasmi ambapo umekabidhiwa dhamana ya kutokomeza maambukizi mapya ya Vi... Read More
Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe iliyopo katika kata ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi mkoani humo kabla ya mwaka 2025 H... Read More
Na WAF – DODOMA Wahandisi wa Vifaaa Tiba na wataalam wa afya Nchini wametakiwa kulinda na kutunza vifaa vya kisasa ambavyo Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza ... Read More
Na. WAF - Tanga Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga mjini amekabidhi vifaa vyenye thamani ya Tsh: Mil. 156 ambavyo vinalenga kuharakisha uponaji... Read More
Na WAF – Dodoma Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo pamoja asasi za kiraia imepanga kuendelea kumiarisha rasilimali watu katika sekta ya afya kwa kuajiri wa... Read More
Na. WAF - Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wanganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanajumuisha huduma za Kifua Kikuu na Ukoma kwenye shughul... Read More
Na. WAF - Tanga Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri wametakiwa kuhakikisha wanasimamia matibabu bora ya Kinywa na Meno na kupunguza kung’oa meno bali waongeze watu wanaotibiwa meno. ... Read More
Na. WAF, Dar es Salaam Uwekezaji wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika sekta ya afya utaongeza tija iwapo wahudumu wa sekta ya Afya nch... Read More