Na. WAF, Handeni- Tanga WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameweka jiwe la msingi kwenye hospitali ya Halmashauri ya Wilaya hiyo na kuwasisitiza viongozi waisimamie na kuikamilish... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF, Handeni -Tanga Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka miwili ameleta kias... Soma Zaidi
Na. WAF Dar es Salaam Taasisi ya Sasakawa Health Foundation chini ya Mwavuli wa Taasisi Mama ya The Nippon Foundation ya Nchini Japan wameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania... Soma Zaidi
Na. WAF - Bonn, Ujerumani Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya Afya imesisitiza kuendelea kusimamia matumizi salama ya Kemikali na taka zitokanazo na Kemikali ili kuzuia ... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema takwimu za Wizara ya Afya kupitia MTUHA (DHIS -2) zinaonesha kumekuwa na ongezeko la asilimia 9.4 kwa ma... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Wananchi wametakiwa kuwachanja wanyama wanaowafuga ili kujikinga na kupambana na ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Kati... Soma Zaidi
Na. WAF, Moshi Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameitaka manejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini KCMC kuimarisha ushirikiano ili kuboresha ubora wa ... Soma Zaidi
Na. WAF, Moshi Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel amesema Huduma za maabara ndiyo msingi mkuu wa Hospitali katika kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha. Dk. Mollel amebain... Soma Zaidi
Na. WAF - Atlanta, Marekani Taasisi ya kukinga na kudhibiti Magonjwa ya Marekani (US - CDC) imeahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuimarisha huduma za Af... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Wizara ya Afya kupitia idara ya Sera na Mipango imeanza kutekeleza agizo la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kufanya mapitio ya Sera ya chakula na lishe ya Taifa... Soma Zaidi