Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Machi 24, 2025 amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. ... Soma Zaidi

Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama leo Machi 24, 2025 amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. ... Soma Zaidi
Na WAF, ARUSHA Tanzania imepunguza maambukizi mapya ya ugonjwa wa Kifua Kikuu kwa asilimia 40 hatua inayoiweka nchi katika mwelekeo sahihi wa kufanikisha le... Soma Zaidi
Na WAF - DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Prof. Mohamed Janabi ni mtu sahihi ambaye anaweza kuongoza Sekta ya Afya Kanda ya Afrika kutokana na uzoefu wake. Mhe. M... Soma Zaidi
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, ameziagiza taasisi za kudhibiti ubora wa bidhaa nchini kuhakikisha kuwa bidhaa zote zinazozalishwa, hususan zile za sekta ya afya, zinakidhi viwango vya ub... Soma Zaidi
Na WAF, Singida Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida imepokea mashine ya kisasa kwa ajili ya matibabu ya magonjwa ya Pua, Koo na Masikio (ENT) yenye thamani ya Shilingi Milioni 360, il... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Wizara ya Afya katika utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/25, iliainisha vipaumbele vilivyozingatia uboreshaji wa utoaji wa huduma za afya nchini iki... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Wamiliki wa vituo vinavyotoa huduma ya tiba asili na tiba mbadala nchini wametakiwa kuhakikisha vituo hivyo vinasajiliwa kisheria na kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, ... Soma Zaidi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imepongeza juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya saratani, hasa kupitia uwekezaji wa Shilingi Bilioni 38 kwenye ujenzi wa jengo ... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali imeimarisha upatikanaji wa huduma za kiuchunguzi wa Kisayansi wa kimaabara kwa sampuli na kufanya ongezeko la asilimia 21 kutoka sampuli 155,817 Mwaka Fedha 202... Soma Zaidi
Na WAF - Songea, Ruvuma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kuepuka kukumbatiana, kushikana mikono, kwakuwa ugonjwa ... Soma Zaidi