Na Englibert Kayombo, WAF- Iringa. Kuanzia tarehe 15 Septemba huduma za uchunguzi na matibabu ya kibingwa kwa kutumia CT SCAN zitaanza kutolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa ... Soma Zaidi
Habari
Na Englibert Kayombo , WAF – Mafinga, Iringa. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa Serikali inajenga wodi za wagonjwa wa dharura 75 katika Halmashauri za Wilaya 75 nchini ... Soma Zaidi
Serikali imedharimia kuboresha utoaji wa huduma bora za afya kwa wananchi na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora za matibabu hivyo watoa huduma za afya kupimwa utendaji kazi wao wa uto... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo – WAF, Njombe. Serikali kuendelea na ujenzi wa Kiwanda cha uzalishaji Dawa na Vifaa tiba kilichopo chini ya Bohari ya Dawa (MSD), Idoffi -Makambako. Kauli hiyo ime... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amesema Serikali imedhamiria kupunguza gharama za matibabu nchini Tanzania na kwakuzingatia hayo itapunguza gharama za kumuona daktari. Waziri Umm... Soma Zaidi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyakazi waliopo Hospitalini kufanya kazi kwa juhudi na kuokoa Maisha ya watu ili kuwa na jamii yenye afya bora.... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi na Naibu Waziri wa Afya wa Uturuki Dkt. Tolga Tolunary wamekutana na kufanya mazungumzo ya namna ya kuanza mara moja utekelezaji wa Mkataba wa ma... Soma Zaidi
WIZARA ya Afya imemfutia deni la milioni 9 mwanafunzi Lightnes Shurima ambalo alikua akidaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kutokana na matibabu ya Marehemu Baba yake a... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi Leo tarehe 7 Agosti, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini Uturuki wakiwemo madaktari. Katik... Soma Zaidi
Na.Englibert Kayombo WAF – Mbeya. Kukamilika kwa jengo la kutolea huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kutaongeza idadi ya wakina mama wajawazito wanaofika ... Soma Zaidi