Na WAF, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI imeitaka Bohari Kuu ya Dawa (MSD) nchini kuongeza kasi ya usambazaji wa bidhaa za Dawa pamoja na kuwa na maghala ya... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, Dodoma. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka wataalam wa TEHAMA kufanyia kazi mifumo ya taarifa ya Wizara ili iweze kuwasiliana na kuwa na mifumo michache y... Soma Zaidi
Taasisi ya Afya Check kwa kushirikiana na Mbunge wa Tanga Mjini, Mhe Ummy Mwalimu na Halmashauri ya Jiji la Tanga imeandaa kambi maalumu ya wananchi kupima afya zao bure ikiwa ni sehemu ya k... Soma Zaidi
Na WAF – DSM Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo inaweka Mkakati wa kukabiliana na dharula, magonjwa ya milipuko na matukio yenye athari kiafya yatakayotokea nchi... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha Hospitali zote Nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti (NICU) na kushuka had... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali inatarajiwa kujenga Hospitali ya Wilaya ya Temeke katika eneo la Vikuruti lilipo Chamazi, Mbagala katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke mkoani Dar es... Soma Zaidi
Na: Shaban Juma, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Y. Janabi amewataka Wananchi kupima afya zao kabla ya kufanya mazoezi ili kusaidia katika kuboresha ... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization) Hayo yamesemwa na Mkurugenzi ... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo ametembelea Hospitali ya Mbagala Rangi Tatu na kukagua mradi wa ujenzi wa hospitali hiyo itakayo kuwa na Ghorofa Sita na ita... Soma Zaidi