Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa ... Soma Zaidi

Na WAF, Njombe Wananchi mkoani Njombe wameshimdwa kuficha hisia zao mara baada yakupatiwa matibabu na kuamua kuhamasishana wao kwa wao kuhudhuria kambi ya Madaktari Bingwa ... Soma Zaidi
Na WAF - Lindi Wito umetolewa kwa watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini, kutoa ushirikiano kwa timu ya wataalam wanaofanya usimamizi shirikishi wa ukag... Soma Zaidi
Na WAF, Njombe Madaktari Bingwa na Bobezi wa Rais Samia wameanza kutoa huduma za kibingwa na bobezi katika halmashauri sita za Mkoa wa Njombe huku Katibu Tawala wa Mk... Soma Zaidi
Na WAF - Songea, RUVUMA Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Bi. Mary Makondo ametoa wito kwa viongozi wote ngazi ya wilaya na halmashauri, wabunge na madiwani kutoa ushiriki... Soma Zaidi
Na WAF - MBEYA. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt. Juma Zuberi Homera, amewapokea rasmi Madaktari Bingwa 49 waliowasili mkoani humo chini ya Mpango wa Madaktari Bingwa wa Rais Samia, un... Soma Zaidi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais- TAMISEMI imefanya kikao maalum cha mashauriano ya kiufundi na wadau wa maendeleo kutoka Benki ya Dunia, S... Soma Zaidi
Na WAF, Mtwara Wazazi wa watoto wenye tatizo la mdomo wazi kwa nyakati tofauti tofauti, wameishukuru Kambi ya Uchunguzi, Upasuaji na Matibabu ya tatizo hilo inayoendeshwa na Shir... Soma Zaidi
Na WAF-Dar es Salaam Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, leo Mei 25, 2025 amechangisha Shilingi Milioni 382 kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Kigoma akiwa amemuwa... Soma Zaidi
Na WAF - Mbeya Wanaume wametakiwa kuishi ahadi na kiapo cha ndoa na kuacha kuwanyanyapaa wanawake wakati wanapopata ugonjwa wa fistula na badala yake wasaidie kuwatafutia matibab... Soma Zaidi
Na WAF - DODOMA Serikali imeendelea kudhibiti vimelea vya malaria katika maeneo ya shule za msingi kwa wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka la saba, ambao baadhi yao bila kujua wa... Soma Zaidi