Na Aisha Swahibu, WAF - Dar es Salaam Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Bruno Sunguya, amezitaka nchi za Afrika kuimarisha mikakati ya kuzuia na kutibu kuvuja damu nyingi wakati au ... Soma Zaidi
Na Aisha Swahibu, WAF - Dar es Salaam Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Bruno Sunguya, amezitaka nchi za Afrika kuimarisha mikakati ya kuzuia na kutibu kuvuja damu nyingi wakati au ... Soma Zaidi
Na Hassan Kimweri, WAF – Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe, amesisitiza kuwa kiongozi bora ni yule anayejenga uwezo wa watu anaowaongoza, kuwawezesha kukua ... Soma Zaidi
Na Hassan Kimweri, WAF – Dar es Salaam Mtaalamu wa Itifaki Balozi Omar Kashera Mjenga, amesisitiza umuhimu wa viongozi kuwa na uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi ya kimkakati yanayole... Soma Zaidi
Na Hassan Kimweri, WAF - Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amewataka watimishi wa Wizara ya Afya kuacha kujifungia ofisini kwa kuwa uongozi bora unahitaji u... Soma Zaidi
Na Aisha Swahibu, WAF - Tanga Kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa katika kikao kazi cha tathmini ya mwaka ya huduma za afya ya uzazi Kanda ya Kaskazini, zinaonesha kuwa vifo vitoka... Soma Zaidi
Mkoa wa Tanga umeendelea kuimarisha uwezo wa kukabiliana na tishio la ugonjwa wa Ebola na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na El Nino, kupitia Dodoso la maswali lenye tathmini ya mifumo... Soma Zaidi
Na Atley Kuni, WAF-Dar es Salaam Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kuimarisha utayari wa timu za Mawasiliano ya Hatari na Ushirikishwaji wa Jamii (RCCE) katika Halmashauri za Kigamboni, ... Soma Zaidi
Na WAF–Milan, Italia Tanzania inashiriki Kongamano na Maonesho ya Kimataifa ya Viwanda vya Dawa, Vifaa Tiba, Chanjo na Vitendanishi (CPHI), linalofanyika Jijini Milan, Italia, kuanzia O... Soma Zaidi
Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Bruno Sunguya, leo Oktoba 6, 2026 ametembelea na kukagua vituo vya ukaguzi wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa... Soma Zaidi
Na Hassan Kimweri, WAF – Arusha Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Florence Samizi, amesema nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinapaswa kuendelea kuimarisha ushirikiano, m... Soma Zaidi