Na WAF, Dodoma Waganga Wakuu wa mikoa tisa na Waratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma wa mikoa wameonesha utayari wao wa shughuli za uibuaji wa wagonjwa wa kifua kikuu kwenye mapango harakishi... Soma Zaidi
Habari
Na WAF - Same, Kilimanjaro Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 600 ili kuipandisha hadhi Zahanati ya Suji iliyopo kijiji cha Malindi Wilaya ya Same mkoan... Soma Zaidi
Na WAF - Rombo, Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ametekeleza kwa vitendo maagizo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ya ujenz... Soma Zaidi
Na WAF, SHINYANGA Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais TAMISEMI, wameanzisha kampeni ya ugawaji wa vyandarua vyenye dawa bure kwa kila kaya,ili kupambana na ugonjwa wa malar... Soma Zaidi
Katika jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu nchini Tanzania ifikapo 2030, Serikali imegawa mashine mpya 185 zenye thamani ya Shilingi Bilioni 7 kwa ajili ya uchunguzi n... Soma Zaidi
Na WAF - Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambay... Soma Zaidi
Na WAF - Uyui, Tabora Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Uyui Mkoani Tabora kuitumia zahanati y... Soma Zaidi
Na WAF - PWANI Imeelezwa kuwa kila mhudumu wa afya ngazi ya jamii akitekeleza jukumu la kuiwezesha jamii kufikiwa na matibabu ya msingi mapema, itaisaidia kuepukana na vifo, umaskini na... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezindua rasmi mashine ya MRI inayotoa huduma za uchunguzi wa magonjwa ya shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo pamoja na majeraha makubwa ya mif... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeendelea kufanya jitihada Mahsusi za kutekeleza afua mbal... Soma Zaidi