Na WAF - Ifakara, Morogoro Walimu, wazazi na watoa huduma za Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanaweka mazingira rafiki ya kuzungumza na vijana wa umri kati ya miaka 15-24 juu... Soma Zaidi
Habari
Na. WAF, Siha Kilimanjaro Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ametoa wito kwa waumini wa Msikiti wa Sanya Juu Halmashauri ya Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kuendele... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 5 katika mwaka wa fedha 2023/2024, kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Hospitali ya Kanda ya Magharibi ambapo ujenzi utaanz... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Uongozi wa Kituo cha Umahiri na Ubobezi wa Kimatibabu ‘Apollo Hospitali’ kilichopo nchini India umeanza kutathmini eneo itakapojenga Hospitali jijini Dar ... Soma Zaidi
Na WAF Dodoma. Watendaji saba wa Bohari ya Dawa (MSD) wameondolewa kazini kufuatia ukiukwaji wa sheria ya ununuzi wa vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh billion 3.4 kutoka ... Soma Zaidi
Na WAF – DODOMA Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Madaktari Tanganyika kuendelea kuendesha mitihani miwili ya kabla na baada ya Utarajali kw... Soma Zaidi
Kukosekana kwa elimu ya Wataalam wa afya waliobobea katika kuwahudumia wagonjwa kila siku, imewafanya baadhi ya Wananchi kwenda kwa waganga wa kienyeji kupata tiba za ugonjwa wa Kif... Soma Zaidi
Na WAF - DODOMA Naibu Waziri wa Afya, Dkt.Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi h... Soma Zaidi
Kamati ya hudama za Afya na Masuala ya Ukimwi imeipongeza Serikali kwa kuchukua hatua kuandaa na kuleta muswada wa bima ya afya kwa wote wa mwaka 2022 ambao unalenga kuweka utaratib... Soma Zaidi
Na WAF - Ulanga, Morogoro Tanzania chini ya Uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Afya, imekuwa kati ya nchi zinazoonyesha mafanikio katika kupamban... Soma Zaidi