Na. WAF - Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa Wajawazito kuhudhuria kliniki mapema kwa lengo la kupata muda wa kutosha kwa Wataalamu kufanya uchunguzi na... Soma Zaidi

Na. WAF - Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imetoa wito kwa Wajawazito kuhudhuria kliniki mapema kwa lengo la kupata muda wa kutosha kwa Wataalamu kufanya uchunguzi na... Soma Zaidi
Na. WAF - Mwanza Imeelezwa kuwa mbinu muhimu za kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza ni pamoja na kubadili mtindo wa maisha kwa kudhibiti matumizi ya vilevi kama sigara na ... Soma Zaidi
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3 za mwaka wa fedha 2021/22, utakaosaidia kubo... Soma Zaidi
Na WAF - DSM Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amebainisha kuwa, Bima ya Afya kwa wote itatoa fursa kwa Mtanzania mwenye hali yoyote kwenda kupata matibabu katika hospi... Soma Zaidi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendelea kutoa kipaumbele katika kuhakikisha wanawake na watoto wa kike wanapata huduma wezeshi zikiwemo za afya na elimu ili kuwez... Soma Zaidi
Na WAF - DSM Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Wataalamu wa afya kujadili uwezekano wa huduma za afya ya akili kuwa sehemu ya huduma zinazogharamiwa na mfumo wa taifa wa Bima y... Soma Zaidi
Na. WAF - Dodoma Kiwango cha kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ni Shilingi 340,000 kwa kaya ya watu Sita akiwemo mchangiaji, mwenza wake na wategemezi wasiozidi wanne kwa mwaka pindi sh... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda. ... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma. Serikali kupitia Wizara ya Afya pamoja na wadau wa Sekta ya Afya wamepanga kuendelea kushirikiana katika kuboresha Sera ya Lishe na kutekeleza afua za lishe nchini. ... Soma Zaidi
Na.Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waganga Wakuu wa Wilaya pamoja na Waratibu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko wametakiwa kujidhatiti katika kukabiliana na tishio la Ugonjwa wa Eb... Soma Zaidi