Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera. Ta... Soma Zaidi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera. Ta... Soma Zaidi
Na WAF - Pwani Wauguzi na wakunga wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa ili kuboresha utoaji wa huduma za afya, kuanzia huduma za afya ngazi ya msingi. Hayo yamesemwa ... Soma Zaidi
Na WAF, TEMEKE Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke Dkt. Joseph Kimaro amesema wananchi zaidi ya 2000 wamefanikiwa kupata huduma ya matibabu ya kibingwa kweye kambi ya S... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Wanataaluma ya optometria nchini wametakiwa kutoa huduma kwa wananchi kwa kuzingatia mawanda ya majukumu yao pamoja na sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya taaluma zao... Soma Zaidi
Na WAF Dar, es Salaam Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam inatarajia kuanza zoezi la umezeshaji wa Kingatiba dhidi ya magonjwa ya matende na mabusha au ngirimaji... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amelitaka Baraza jipya la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) kuwachukulia hatua kali wauguzi na wakunga watakaokiuka misingi ya sheria... Soma Zaidi
NA WAF-Dodoma Serikali imefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wachanga kwa kiwango kikubwa, huku mfumo wa usafiri wa dharura, M-Mama ukichangia kuokoa maisha ya akinamama na watoto wacha... Soma Zaidi
Na WAF - Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Hospitali Maalum ya Taifa ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto kufanya kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya ... Soma Zaidi
NA WAF SERIKALI kupitia Wizara ya Afya itaendelea kutekeleza mkakati wake wa kuimarisha huduma za dharura nje ya hospitali kwa kushirikiana na wadau binafsi. Hayo yamebainishwa na ... Soma Zaidi
Na WAF - Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi ... Soma Zaidi