Na E. Kayombo – WAF Tanga Wito umetolewa kwa watanzania kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara ili kutambua hali zao kiafya mapema na kuepukana na maradhi ambayo yanaweza ku... Soma Zaidi
Habari
Na WAF, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na kamati ya afya ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejadili afua za kutokomeza Malaria ifikapo Mwaka 2030 ili... Soma Zaidi
Na WAF – DSM Serikali ya Tanzania imeonekana kupiga hatua katika kukabiliana na dharura za kiafya pamoja na magonjwa ya milipuko kutoka asilimia 48 mwaka 2016 hadi kufikia asilimia 63 m... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Wananchi wa Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasogezea huduma za upasuaj... Soma Zaidi
WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha maeneo ambayo yamelengwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto (UNICEF) ili kuboresha Sekta ya Afya nch... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuongeza nguvu ya kudhibiti bidh... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Wagonjwa zaidi ya 500 wenye matatizo ya mtoto wa jicho wanatarajiwa kupatiwa huduma ya upasuaji wa mtoto wa jicho kutoka kwa madaktari bingwa wa macho amba... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuongeza kasi na Ufanisi wa utoaji ... Soma Zaidi
Mwanamitindo na Mwigizaji wa Kimataifa Molly Sims ambaye ni Mke wa Mwenyekiti wa Netflix Films, Scott Stuber, amechangia Dola Elfu 25 ambayo sawa na shilingi Milioni 62 za Kitanzania kwa aji... Soma Zaidi
Na. Majid Abdulkarim, Mbarali Madaktari Bingwa wa macho wameweka kambi ya wiki moja Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwatafuta wagonjwa wenye matatizo ya mtoto wa jicho amba... Soma Zaidi