Na WAF, DODOMA Wizara ya Afya imewasilisha maboresho ya muswada wa Sheria ya Mfuko wa Bima ya Afya wa mwaka 2025 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UK... Soma Zaidi

Na WAF, DODOMA Wizara ya Afya imewasilisha maboresho ya muswada wa Sheria ya Mfuko wa Bima ya Afya wa mwaka 2025 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UK... Soma Zaidi
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, ameitaka Hospitali ya Rufaa Kanda KCMC kuwekeza zaidi katika upanuzi wa huduma za afya ili kufikia hadhi ya hospitali ya taifa, lengo likiwa ni k... Soma Zaidi
Na. WAF, Dodoma Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anna Makinda ametoa wito kwa wanawake nchini kuhakikisha wanatumia kikamilifu fursa za uwezeshaji k... Soma Zaidi
Na WAF - Kilimanjaro Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema Hospitali Maalum ya Tiba ya Magonjwa Ambukizi kibong’oto inatarajiwa kuwa Taasisi ya Magonjwa Ambukizi ambayo itakwenda ... Soma Zaidi
Na WAF, TABORA Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt. Honoratha Rutatinisibwa ameomba zoezi la ukaguzi linalofanywa na Baraza la Optometria kuwa endelevu ili kuwabaini watu wasio na taaluma... Soma Zaidi
Na WAF - Moshi, Kilimanjaro Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo k... Soma Zaidi
Na, WAF-Zanzibar Naibu Waziri wa Afya Tanzania Bara, Dkt. Godwin Mollel ameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa uwekezaji wa zaidi ya Shilingi Bilioni 356 katika Sekta y... Soma Zaidi
Na WAF - KAHAMA Msajili wa Baraza la Optometria Bw. Sebastiano Millanzi amevitaka vituo viwili vya utoaji huduma ya macho vilivyoko Manispaa ya Kahama Shinya... Soma Zaidi
Na WAF - Tanga Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema serikali imejipanga kuwa ifikapo mwaka 2030 itapunguza vifo vitokanavyo na uzazi hadi chini ya 70... Soma Zaidi
Na WAF - SHINYANGA Msajili wa Baraza la Optometria nchini, Bw. Sebastiano Millanzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Shinyanga ameendesha usimamizi shirikishi katika mkoa... Soma Zaidi