Na. WAF, Dodoma Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa viashiria vya Magonjwa yasiyoambukiz... Soma Zaidi

Na. WAF, Dodoma Shirika la Afya Duniani (WHO) kuipatia Tanzania fedha za kitanzania milioni 855 kwa ajili ya kuwezesha kufanya utafiti wa kitaifa wa viashiria vya Magonjwa yasiyoambukiz... Soma Zaidi
Na. Englibert Kayombo, Dodoma. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuboresha ubora wa huduma zinazotolewa katika Vituo vya kutolea... Soma Zaidi
Na. WAF Dodoma Serikali ya Kanada imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 240 kwenye Mfuko wa Afya ya pamoja (Health Basket Fund) ili kusaidia Sekta ya Afya nchini. Waziri ... Soma Zaidi
Na. WAF Dodoma Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) yanachangia takribani 33% ya vifo vyote nchini huku kwa takwimu za Shirika la Afya duniani (WHO) kwa mwaka 2020 zinaonesha kuwa magonjwa ha... Soma Zaidi
Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi na zawadi ya fedha taslimu kiasi cha Tsh Milioni 2 kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea ku... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itatoa kipaumbele cha ajira kwa wataalam wa huduma za utengamao (Rehabilitative Services) kupitia watu waliosomea fani za Physiotherapy, Occ... Soma Zaidi
Hospitali ya Taifa Muhimbili imeanzisha huduma ya kubeba wagonjwa wasioweza kutembea kutoka kwenye kituo cha daladala kilichopo nje ya geti la kuingilia hadi katika maeneo ya kutolea huduma ... Soma Zaidi
Na. WAF, Iringa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe amezitaka Hospiatali za Rufaa nchini kuhakikisha zinatoa huduma za utengamao na tiba mazoezi ili kuwezesha wananchi w... Soma Zaidi
Na. WAF - Shinyanga Vifaa tiba kwa ajili ya huduma za watoto wachanga wagonjwa na njiti vyenye thamani ya Tsh.Bilion 6.3 vimeanza kusambazwa kwenye Hospitali mbalimbali Nchini. Waz... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriw... Soma Zaidi