Na WAF , Mbeya Wakuu waIdara Sekta ya Afya wametakiwa kuwafahamu kwa undani watu wanaowaongoza ili kujiepusha na migongano mbalimbali inayoweza kuathiri utendaji kazi katika maeneo yao ... Soma Zaidi

Na WAF , Mbeya Wakuu waIdara Sekta ya Afya wametakiwa kuwafahamu kwa undani watu wanaowaongoza ili kujiepusha na migongano mbalimbali inayoweza kuathiri utendaji kazi katika maeneo yao ... Soma Zaidi
Na, WAF-Dodoma Uwepo wa Sekta binafsi nchini umetajwa kuwa muhimili muhimu wa maendeleo ya taifa, huku ushirikiano wa karibu kati ya sekta hizo na Serikali umewezesha kufanikisha ukuaji... Soma Zaidi
Na Waf Dodoma Wizara ya Afya itaendelea kushirikiana na Amref kutekeleza miradi mbalimbali yenye lengo la kuiwezesha jamii katika kukabiliana na changamoto za afya kwenye eneo la huduma... Soma Zaidi
Na WAF - Mbeya Vifo vitokanavyo na uzazi vimeendelea kupungua kwa asilimia 18 kutoka vifo 121 kwa vizazi hai 100,000 kwa mwaka 2021 hadi kufikia vifo 83 kwa vizazi hai 100,000 mwaka 202... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es salaam Wizara ya Afya na Shirika la Reli la Taifa (TRC) imeendelea kujizatiti kwa kuimarisha utayari dhidi ya ugonjwa wa Mpox, ikiwa ni muendelezo wa juhudi za Serikali ... Soma Zaidi
Na WAF - DODOMA Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema matumizi sahihi ya kemikali ni kiungo muhimu ili kuchagiza maendeleo nchini na Duniani kwa ujumla kwa kizazi cha sa... Soma Zaidi
Na WAF - Ruvuma Jumla ya Vitongoji 443, Vijiji 56, Mitaa 95 vinatarajia kunufaika na Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii katika mkoa wa Ruvuma. Hayo yamebainishwa De... Soma Zaidi
Na, WAF-Kibaha, Pwani Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezindua rasmi matumizi ya mfumo wa teknolojia inayotumika kuboresha utoaji wa huduma za afya (Afya-Tek) ndani ya Mfumo ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya Dkt. Ahmad Makuwani amesema Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kuhakikisha kil... Soma Zaidi