Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 3 kwa ajili ya kuwawezesha watu kuweza kupata huduma za Upandikiz... Soma Zaidi
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Prof. Abel Makubi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa Bilioni 3 kwa ajili ya kuwawezesha watu kuweza kupata huduma za Upandikiz... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma. Wadau wa Sekta ya Afya kwenye uzalishaji wa bidhaa za afya (dawa na vifaatiba) wazidi kujitokeza kuonyesha nia ya ushirikiano na na Serikali katika upatikanaji wa... Soma Zaidi
Na WAF, Dodoma Waziri wa afya Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekutana na wawekezaji wa vifaa tiba kutoka kampuni ya A to Z iliyopo nchini Tanzania waliojitokeza kwaajili ya kuunga ... Soma Zaidi
Na, WAF- Dodoma Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amehimiza jamii kupewa elimu ya magonjwa ya kuambukiza kwa kuwafikia wananchi wa rika zote, hususan vijana, kwa kutumia mitan... Soma Zaidi
Na WAF – Arusha Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, amewahimiza wananchi kuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ikiwemo kuzingatia mtindo bora wa maisha kwa kula vyakula vyenye... Soma Zaidi
Na WAF, Dar es Salaam Wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam na Mikoa Jirani wamehimizwa kujitokeza kuchunguza Mabusha na kupata huduma bure ya upasuaji wa ugonjwa huo. Rai hiyo ime... Soma Zaidi
Na WAF, Dar es Salaam Wananchi mkoani Dar es Salaam waliojitokeza kwenye kambi maalum ya upasuaji Mabusha na Matende wameipongeza Serikali kwa kuliona tatizo hilo na kuandaa kambi maalu... Soma Zaidi
Na WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imewataka Wanahabari kuwa sehemu ya Mabalozi utoaji wa Elimu ya Afya kuhusu Mabusha na Matende ugonjwa ambao umekuwa ukiwakabili w... Soma Zaidi
Na, WAF-Morogoro Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, kwa niaba ya Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa, leo tarehe 02 Januari, 2026, ametembelea na kuwajulia hali majeruhi wa ... Soma Zaidi
Na, WAF - Dar es Salaam Wito umetolewa kwa Watumishi wa Sekta ya Afya kuhusu umuhimu wa kuwa na mshikamano, ushirikiano na uwajibikaji miongoni mwao katika utekelezaji wa majukum... Soma Zaidi