Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu ametoa wito kwa uongozi wa Hospitali za BLK-Max na MAX-Saket kuendelea kushirikiana na Tanzania katika utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa bobezi nchini ... Soma Zaidi

Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu ametoa wito kwa uongozi wa Hospitali za BLK-Max na MAX-Saket kuendelea kushirikiana na Tanzania katika utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa bobezi nchini ... Soma Zaidi
Na Mwandishi wetu, New Delhi, India. Serikali ya India na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika upatikanaji wa dawa za gharama nafuu ili kuwezesha wananchi kumudu na kupata dawa hi... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu Tanga Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt Seif Shekalage amewataka wamiliki wa maduka ya dawa nchini fuateni utaratibu sahihi wa utoaji dawa kwa wagonjwa kulingana na m... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu, Brisbane Australia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dr. Grace Magembe leo Julai 25, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIATRIS wa Kan... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu, Tanga. Jumla ya watu 86 Mkoani Tanga wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha viungo na kati yao 43 washafanyiwa chini ya Kambi maalum ya Upasuaji wa Viungo (R... Soma Zaidi
Na. Mwandishi Wetu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameupongeza Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuboresha huduma na mazingira ya Hospital... Soma Zaidi
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha kuwa Mkoa wa Ruvuma umepokea kiasi cha Shilingi Bilioni 22.9 kwaajili ya kuboresha huduma za afya ikiwemo eneo la ununuzi wa dawa na vifaa... Soma Zaidi
Na. Said Nyaoza Serikali imesema NBC Marathon Dodoma ndani ya miaka mitatu imefanikisha wakina mama 1,300 waliokuwa na Saratani ya Mlango wa kizazi kuanza kupatiwa matibabu katika Taasi... Soma Zaidi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania hususani Vijana kujiepusha na kutoa figo zao kwa ajili ya kufanya biashara ili kuepuka madhar... Soma Zaidi
Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka... Soma Zaidi