Vituo vya Afya na Zahanati nchini vimetakiwa kuboresha usimamizi wa miongozo na kufufua kamati za huduma za afya. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel M... Soma Zaidi

Vituo vya Afya na Zahanati nchini vimetakiwa kuboresha usimamizi wa miongozo na kufufua kamati za huduma za afya. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Prof. Abel M... Soma Zaidi
. Na WAF- DSM SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuja na mkakati wa kushirikisha Wakuu wa Mikoa na Wilaya katika ajenda ya ubora wa huduma kwa wananchi ikiwa ni ajenda ya... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo, WAF - Dar Es Salaam. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku ya kuendelea na ujenzi wa majengo mapya katika Hospitali zote za Ru... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo, WAF - Dar Es Salaam. Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuhakikisha watoto wachanga wanapata chanjo zote muhimu zinazotolewa ili kuwajengea kinga imara ya ... Soma Zaidi
Na Englibert Kayombo, WAF - Dar Es Salaam. Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kuja na mwongozo wa gharama za matibabu katika Vituo vya kutolea huduma za Afya vya umma nch... Soma Zaidi
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametembelea wagonjwa katika Taasisi ya Saratani Ocean Road ili kuwajulia hali na kutoa misaada ya sikukuu kwa niaba ya familia yake. Akiz... Soma Zaidi
Na. WFA – Dar es Salaam, 24 Disemba 2023 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi amewataka watumishi wa Idara ya Huduma za Uchunguzi na Vifaa Tiba kufanya kazi kwa uwajibikaji wa ... Soma Zaidi
Na. WAF- Dar es Salaam, 23/12/2022 Menejimenti ya Wizara ya Afya chini ya Katibu Mkuu Prof. Abel Makubi imechukua hatua za kuifunga Ofisi ya Uratibu wa Miradi wa Ukimwi, TB na Malari... Soma Zaidi
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi pamoja na Menejimenti wamepongeza Kitengo cha Mawasiliano Serikalini (GCU) kwa kuendelea kuhabarisha umma kuhusu taarifa mbalimbali za sekta ya ... Soma Zaidi
Waziri wa Afya Mhe. @UmmyMwalimu leo akiwa njiani kutokea Jijini Mwanza kuelekea katika Visiwa vya Ukerewe kufuatia agizo alilotoa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. ... Soma Zaidi