Na Aisha Swahibu, WAF, Pwani - Rufiji Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Dawa na Vifaa Tiba Bw. Emmanuel Tayari amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakiki... Soma Zaidi
Na Aisha Swahibu, WAF, Pwani - Rufiji Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia masuala ya Dawa na Vifaa Tiba Bw. Emmanuel Tayari amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakiki... Soma Zaidi
Na WAF – RUFIJI Naibu Waziri wa Afya, Mhe.Dkt. Florence Samizi amesema uwekezaji unaofanywa na Serikali katika huduma za afya Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani umewezesha wananchi kupata hu... Soma Zaidi
Na John Mapepele, WAF - DSM Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amekabidhi gari la wagonjwa (ambulance) lenye thamani ya zaidi ya Shilingi milioni 100 katika Kituo cha Afya Mpiji M... Soma Zaidi
Na Zakayo Mosha, WAF- Kilimanjaro Timu ya Mchezo wa Riadha kutoka Wizara ya Afya imefanya vizuri kwa wanariadha wa timu hiyo kupata medali kwa kushika nafasi za juu na kuendelea kuwa ti... Soma Zaidi
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeendelea kuimarisha utayari wa jamii kukabiliana na majanga kwa kuwajengea uwezo watendaji ngazi ya Mtaa pamoja na viongozi wa jamii, ili waweze kuchuk... Soma Zaidi
Na Zakayo Mosha, WAF – Kilimanjaro Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Afya imefuzu hatua ya nusu fainali ya Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Taasisi za Serikali (SHIMIW... Soma Zaidi
Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Hospitali ya Aga Khan Health Service Tanzania imewekeza takribani Shilingi bilioni 1.3 katika kuanzisha Kituo cha Huduma za Meno na Vipandikizi katik... Soma Zaidi
Na Andrea Kadege, WAF–Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayeshughulikia Dawa na Vifaa Tiba, Bw. Emmanuel Tayari, amesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika kinga, uchunguzi... Soma Zaidi
Halmashauri za Wilaya za Songwe na Momba, Mkoani Songwe leo Oktoba 2,2026, zimendelea na zoezi la kutathmini uwezo wao wa kukabiliana na ugonjwa wa Ebola na athari zinazoweza kusababishwa na... Soma Zaidi
Na Happyness Hans, WAF - Morogoro Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la Afya Duniani (WHO) imehuisha mwongozo wa matibabu, kinga na udhibiti wa maambukizi ya magonjwa ya milipuk... Soma Zaidi