Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu akutana na Balozi wa Canada nchini Tanzania Alexander Leveque ambaye muda wake unaisha hivi karibuni

Balozi Leveque akiongea na Waziri Ummy Mwalimu ofisini kwake wizara ya Afya.Balozi Leveque amesema nchi ya Canada itaendelea kuisaidia Tanzania kupitia mfuko wa pamoja "Basket Fund" katika kuimarisha huduma za afya nchini Hussain afya ya Uzazi wa Mpango

Feature News & Events

Go to top